Sunday, November 2, 2014

HAKI YA MUNGU, KILICHOTOKEA JANA KWA MASHABIKI KWENYE SHOO YA E-FM RADIO TEGETA, DIAMOND AANZE KUPUNGUZA GHARAMA ZA SHOW ZAKE , ALLY KIBA AFUNIKA ILE MBAYA..!




Maelfu ya wakazi wa Tegeta na vitongoji vyake wakifanya yao kwenye onesho la E-fm Muziki Mnene baa kwa baa 
 Wapenzi: Wema na Diamond 

Ally Kiba 
Na Mwandishi Wetu
Hakina aliyesema ngoma ikivuma sana hatimae hupasuka hakukosea hata chembe ambaja usiku wa kuamkia leomashabiki wameendelea kudhihilisha kama hawakukosea kwenye onesho la Usikuwa Serengeti Fiest walipomzomea kwa nguvu zote mwanamuziki Diamond na jana pia ilikuwa hivyo hivyo  lakini hii ilikua tofauti kidogo ambapo mashabiki hao waligoma kucheza nyimbo za mwanamuziki huyo huku wakitaka muzuki wa Ally Kiba.
Tukio hilo lilitoke kwenye ukumbi wa Kimori Highway Park iliyopo Tegeta mbako kulukuwa na onesho la Muziki Mnene Baa kwa Baa lililoandaliwa na 93.7 E-fm Radio huku watu zaidi ya elfu saba wakikusanyika pamoja.
Mchezo ulianza baada ya Mamc wa shughuli hiyo ambao walikuwa ni Maimatha Jesse na Godwin Mawanja walipowapa nafasi ya kuchagua mwanamuziki gani mkali kati ya Ally Kiba na Diamond? Hapo ndipo palipozuka mtiti mashabiki ukumbi mzima walilipuka kwa shangwe za kufa mtu wakimshangilia Ally Kiba huku wakimzomea Diamond Mc: "Jamani nataka kuonesha shangwe kubwa kwa mwanamuziki mnaemkubari kati ya Diamond na Ally Kiba  tuna aanza kwa Diamond wanaompenda nataka wapige kelele hadi Bagamoyo wasikie "
Mashabui: " Buuuuuuuuuu buuuuu buuuu" Mc: " Wanaompenda Ally Kiba?" Oyoooo oyoooo oyoooo Kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba" Hiyo ndiyo hali iliyokuwa uwanjani.
Kufuatia hali hiyo wadau na mashabiki wa muziki wamemsihi Dimaond na babu tare ambae ni meneja wake kusoma arama za nyakati haraka na kama walizoea kuwachaji mapromota hela nyingi kwenye show zao basi waanze kupunguza hadi kufika hata milioni tatu au tano na sio milino 36 walizomchaji promota mmoja Mkoani Dodoma hivi karibuni kwani kwa sasa mashabiki wamemkimbia na shoo zote atakuwa anakula za uso huku mapromota wakipewa angalizo.
CREDIT: MASKANIBONGOTZ

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king