Na Mwandishi Maalum
Msichana mmoja mwenyeji wa Arusha Majengo amejikuta akipoteza mume kwa sababu ya picha ya nusu uchi aliyoirusha mtandani bila kujali kama ingeweza kumletea madhara makubwa.
Habari za uhakika zilizofika mezani kwa Maskanibongotz zilisema msichana huyo aliyefahamika kwa jina la Jackline Kaaya ambae ni Mmeru alikubwa na balaa hiyo wiki mbili zilizopita akiongea kwa sharti la kutotajwa jina rafiki wa karibu wa msichana huyo alisema" Mmh jamani hakika hii mitandao itatufikisha pabaya shoga yangu kaachika kisa picha aliyoirusha mtandao bila kujali ingemletea matatizo" Alisema
Akielezea zaidi juu ya tukio hilo rafiki huyo wa Jack alisema" Unajua sijui ni shetani ama nini mitandao kila siku inatusababishia shida kwani mara baada ya kupiga picha hiyo rafiki yangu aliirusha kwenye mtandao kwa nia njema lakini jinsi walivyoipokea ikawa balaa kubwa" Alisema
Hata hivyo chanzo hicho kilisema hadi sasa familia hizo zimesimamisha vikao kwa vile mume huyo ambae ni mfanyabishara wa madini amekasirika sana kiasi cha kutotaka kumuona tena mwanamke huyo" Alisema
CREDIT: MASKANIBONGOTZ
Browse » Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment