Wdunguaji wa Kimarekani wakiwa kazini kuwashughurikia Boko Haram: www.maskanibongotz.blogspot.com
Nembo ya kikosi cha madunguaji wa kimarekani kiitwacho SNAKE EATER: www.maskanibongotz.blogspot.com
Alama nyingine ya kikosi hicho: www.maskanibongotz.blogspot.com
Alama ya kundi la wanamgambo wa Boko Haram: www.maskanibongotz.blogspot.com
Miili ya wanamgambo wa Boko Haramu ikiwa chini baada ya kuuliwa na Makomandoo wa Kimarekani juzi: www.maskanibongotz.blogspot.com
Wananchi wa nchini Nigeria waliamua kuingia mtaani kwa ajili ya kuwasaka Boko Boko Haram: www.maskanibongotz.blogspot.com
Kikosi Maalum cha Makomandoo wa Kimarekani wakiingia ardhi ya Nigeria kwa kazi 1 tu ya kuwasambaratisha: www.maskanibongotz.blogspot.com
Mkuu wa Makomandoo akimuelekeza namna ya kutumia silaha maalum ya kivita mmoja wa Askari wa Nigeria: www.maskanibongotz.blogspot.com
Kiongozi wa Boko Haram: www.maskanibongotz.blogspot.com
Makomandoo wakishuka kwenye Chopa eneo ambalo linasadikiwa ndiyo ngome ya Bokoharam: www.maskanibongotz.blogspot.com
Baada ya kichapo kikali pamoja na kuuliwa kwa kiongozi wao wanamgambo hao walitimua mbio na kuacha dhana zao kama zinavyoonekana pichani: www.maskanibongotz.blogspot.com
Komandoo akichukua maelezo sahihi ya kuwawezesha kufika eneo ya ngome ya kundi hilo: www.maskanibongotz.blogspot.com
Vifaa mbalimbali kama Laptop nk ziliachwa na wanamgambo hao baada ya kuchezea kichapo kikali toka kwa Makomandoo wa Kimarekani mapema wiki hii: www.maskanibongotz.blogspot.com
Miili ya raia wasiiokuwa na hatia waliopigwa Risasi na wanamgambo hao: www.maskanibongotz.blogspot.com
Tayari huyu ni mmoja wa wafadhiri wakuu wa kundi hilo akiwa chini ya ulinzi wa Askari wa Kimarekani kwenye oparasheni hiyo: www.maskanibongotz.blogspot.com
Mauaji ya kinyama ya watoto wadogo yalifanywa na kundi hilo: www.maskanibongotz.blogspot.com
Ukiua kinyama nawe utauawa hivyo hivyo: www.maskanibongotz.blogspot.com
ukiua kwa Upanga nawe utauwa kwa Upanga miili ya wapiganaji wa kundi la Boko Haram ikiwa imetapakaa damu baada ya kuuwa na Makomandoo wa Kimarekani: www.maskanibongotz.blogspot.com
CREDT: MASKANIBONGOTZ.BLOGSPOT.COM
Browse » Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment