Monday, August 4, 2014

MPENZI WA BENNY KINYAIYA ATUPIA PICHA ZA AIBU MTANDAONI, MSICHNA HUYO AMTUHUMU MTANGAZAJI HUYO KUZIVUJISHA MAKUSUDI BAADA YA KUKOROFISHANA..!

 Mpenzi wa Benny Kinyaiya aliyefahamika kwa jina la  NATASHA akionesha MTINDI wake ili kuvutia wanaume hali inaonesha ishara ya kujiuza 100% kwani kwa kawaida kwa msichana mwenye kujiheshimu na kuwa na akili timamu hawezi fanya upuuzi kama huu wa NATASHA.

 Benny Kinyaiya akiwa na Maimartha
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua UMMA msichna mmoja aliyefahamika kwa jina la NATASHA amepiga picha uchi MAKUSUDI na kuziasambaza mitandaoni kwa lengo la kutafuta wanaume wakware wa ngono.
 Mtandao huu bila kumsingizia mdadada huyo umenasa picha hizo kwenye account ya NATASHA ambae amezimwaga picha hizo na huku maelfu ya watu wakijionea sinema hiyo ya bure.
Habari zaidi zilisema kuwa NATASHA ambae anafanyakazi kwenye kampuni moja ya matangazao huku picha hizo zikimeachiwa msimu wa sikukuu ya Idd.
Kwa mujibu chanzo chetu kilisema kuwa msichana huyo amekuwa akimtuhumu mpenzi wake  Benny Kinyaiya ndiye aliyevujisha picha hizo kwani hakuna mtu mwingine aliyekuwa nazo zaidi yake yeye.
Mtandao huu ulifanya jithadi za kuwatafuta wawili hao kwa ajili ya kjibu tuhuma hizo lakini kwa bahati mbaya hawakuweza kupatikana hadi habari hii inaruka hewani.
CREDIT: MASKANIBONGOTZ




0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king