Tuesday, July 22, 2014

HIKI NDICHO KILICHOMNYIMA MANAIKI SANGA KWENDA BIG BROTHER AFRIKA KUSINI, WATANZANIA WAFURAHIA KUTOSWA KWAKE MAANA ANGEITIA NCHI AIBU ZAIDI YA BHOKE..!








Mwishoni mwa wiki iliyopita kulikuwa na usaili wa kuwatafuta watanzania wawili kwa ajili ya kuiwakilisha nchi kwenye shindano a Big Brother Afrika nchini Afrika Kusini , ambapo kuna taarifa kuwa msanii Manaiki Sanga nae alijaribu bahati yake lakini akaishia kutoshwa vibaya huku sababu kubwa ikielezwa kashfa kubwa ya kupiga picha za uchi na wanawake zaidi ya 500 hivi karibuni na kutikisa dunia.
Maskanibongotz ulifanya jitihada za kumtafuta Manaiki kwa ajili ya kueleza ukweli wa tukio hilio ambapo alikuwa na haya ya kusema" Jamani nilijaribu nikashindwa kwa tatizo liko wapi? huio ni unafiki tu hamana lolote nyie ebu acheni mambo yenu bwana" Alisema Manaiki na kukata simu
CREDIT: MASKANIBONGOTZ

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king