Pia niliweza kukutana na mkurugenzi wa EFM Boss Majey na kufanikiwa kuongea naye, aliweza kuongea machache ambayo ni habari njema kwa mikoani, Ni kwamba wakazi wote wa mikoani wakae tayari kwa mkao wa kula, hivi karibuni wataweza kufikia mikoa tofauti tofauti na kupata ladha mpya kabisa ya radio hiyo na sio zile za kukariri kama baadhi ya redio ambazo hazina ubunifu, kila kukicha nyimbo ni zile zile za kina nalilii... |
EFM RADIO NDIO HABARI YA MJINI |
0 comments:
Post a Comment