Monday, May 19, 2014

WAREMBO WAPIGA VIKUMBO KWENYE SHOO YA DIAMOND NA OMMY DIMPOZ UINGEREZA ANGALIA BALAA HILI..!


Hapa ni bump to bump Ommy Dimples akisugua gaga ni Jastina George live on stage katika show iliyofanyika usiku wa tarehe 17. Ommy pamoja na Diamond walikinukisha live bila chenga.
Hapa ni Flora Lyimo nae alijiweka kwa Diamond live on stage kiroho safi 
Ommy Dimples akiwapagawisha wabongo wa UK
Diamond ndani ya style yake ya V skirts akiimba kwa hisia mbele ya wa bongo wa UK,

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king