Na Mwandishi Wetu
Gazeti hili toleo namba 21 la Jumatano wiki
iliyopita liliwaletea habari iliyokuwa inasimeka MAFANYABIASHARA MAARUFU
KARIKOO ANASAKA TEGO LA NGONO na kuwaeleza wasomaji wetu kuwa hitimisha la
taarifa hiyo ni lazima mtuhumiwa Daud John Mpenda apatikane ili kuelezea kwa
nini amekuwa akijihusha na matukio ya udhalilishaji kwa wanawake za watu na
mabinti wadogo.
Timu yetu ile ile iliyofanikisha zoezi la kumnasa
mfanyabishara huyo ndiyo iliyoingia mtaani tena kumsaka kwa ajili ya kupata
kauli yake lakini katika hali isiyotarajia toka Jumatano siku gazeti lilipotoka
wiki iliyopita Bw Daud amekimbia mji kabisa ofisini kwake hapatikani wala
nyumbani huku kukiwa na taarifa kuwa amepotea kabisa na hajulikani alipo huku
wengine wakisema labda amekimbilia nchini Afrika Kusini.
Kwa mujibu wa mtu wa karibu na Daud ambae anaishi
nae jirani maeneo ya Mbezi Beach aliliambia Maskani Bongo kuwa" Jamani
tangu gazeti lenu lilipoanika picha za tukio lake jamaa kahama mji na hata mkewe hajui
amahara alipo hali inayotia hofu kuwa huenda atakuwa ameenda mbali"
Alisema mwanamke huyo
Mapaparazi wetu waliweka kambi jirani na duka lake
na Mpenda Mibile Phone lilipo mtaa wa
Uhuru Kariakoo kwenye kona ya mtaa wa Agray kwa siku tatu kwa ajili ya kuona
kama ataonekana ofisini lakini wapi hakupatikana ng'oo.
Hata hivyo dodosa za mapaparazi wetu kwa majirani
wa Daud hapo Karikaoo bila nao kufahamu kama wanaongea na mwandishi wetu
walitoa habari mpya kuwa tangu habari hiyo itoke mtaa mzima Agray umeshtushwa
kwani inadaiwa kuwa kuna shemeji yake ambae amemuweka dukani hapo huwa
anamlamba kwa siri hivyo baada ya habari hiyo basi nae alitimka hadi leo
hajaonekana.
Mapaparazi waifanyajitahada za kupata namba za
simu na shemejie huyo aliyetajwa kwa jina moja la Diana na mkewe halisi Daud
aliyefahamika kwa jina la Gati Juma
ambae ana mtoto mdogo na bado anamnyonyesha na Diana ndiye aliyekuwa wa kwanza
kipigiwa simu lakini hakupokea kabisa licha ya kutumiwa na ujumbe wa meseji
kama anaombwa apokee lakini wapi.
Upande wa mkewe nae alipopigiwa simu na nae pia
hakuweza kupokea na kulikuwa na taarifa kuwa familia ya Daud ilikuwa na kikao
kikubwa cha kumfariji mkewe huyo kutokana na tukio hilo huku wakimsihi
asichukue maamuzi yoyote awe na subira kwanza hadi atakapopatikana Daud ili aje
kutoa maelezo juu ya tukio hilo.
Katika hatua nyingine baada ya kupatwa na msara
huo marafiki wote wa Daud aliokuwa anakunywa na kula nao waliingia mitini"
Nakwambia marafiki watu wabaya sana baada ya tukio la Daud marafiki zake wote
wameingia mitini hata yuko Maliki ambae ni kuhadi wake anaempatia mademu nae
amekimbia na kumcheka hii ni hatari sana" Alisema jirani huyo Karikoo
Hata hivyo kabla ya gazeti hili kuingia mitamboni
kulikuwa na taarifa toka kituo cha Polisi Oysterbay kuwa mfanyabishara huyo
anatakiwa kulipoti kutuoni hapo kwa ajili ya kuhojiwa upya kwa kitendo chake
cha kutoa taarifa za uwongo kwa Jeshi la
Polisi Kanda ya Kinondoni" Hili ni kosa kutoa taarifa za uwongo ndani ya
Jeshi la Polisi hivyo ni lazima tutachukua hatua za kisheria juu yake hivyo
tunamtaka afike hapa mara moja licha ya kwamba simu zake hazipatikani lakini
akipata ujumbe huu atekeleze agizo hilo" Alisema mmoja wa wapelelezi wa
tukio hilo ambae aliomba hifadhi ya jina lake kwa kuwa yeye si msemaji wa Jeshi
0 comments:
Post a Comment