Monday, May 19, 2014

MFALME MSWATI AGOMA KUCHAGUA BIKRA 2014 MAANDAMO MAKUBWA KUFANYIKA NCHI NZIMA, BIKRA WENGINE KUKIMBILIA TANANZANIA, MMH VIDUME JIJINI DARA SIJUI ITAKUAJE..! MASKANIBONGOTZ.BLOGSPOT.COM



 Wasichana wadogo ambao mwaka jana wametoswa na mwaka huu Mfalme huyo wa Swazland amegoma kuchagua mke kutokana na tatizo lililojuu ya uwezo wake.




 Wasichana hawa ambao hawajawahi kuonjo radha ya penzi la mwanaume toka wamezaliwa na wamekuwa wakitunza usichana wao ili kuja kuolewa na Mfalme Mswati: 
Source Maskanibongotz.blogspot.com


 Wazazi wa watoto ambao ni mabikra wakiwa kwenye maandamani kumshinikiza mfalme huyo kuwachagua watoto wao ili wakale bata kwenye hekaru la kifalme la Mswati: 
Source Maskanibongotz.blogspot.com






Wasichana hawa ambao hawajawahi kuonjo radha ya penzi la mwanaume toka wamezaliwa na wamekuwa wakitunza usichana wao ili kuja kuolewa na Mfalme Mswati: 
Source Maskanibongotz.blogspot.com
Na Mwandishi wa Maskanibongo na msaada wa mtandao
Mtandao huu umenasa taarifa za kushtua kuwa mfalme wa Mswati  mwaka huu 2014 amesusa kuchagua mwanamke kutokana na ubize wa majukumu hali ambayo imezusha balaa kubwa nchini humo.
Kwa mujibu wa taarifa toka mdandao mmoja nchini humo umesema kuwa Mfalme huyo amegoma kabisa kuchagua mke kwani kwa kawaida uteuzi wake huo ilibidi ufanyike mapema mwezi wa nne lakini hadi sasa amekaa kimya na taarifa iliyotolewa na msemaji wake kuwa mwaka huu huenda asichague mke tena hadi mwakani.
Taarifa hiyo iliamsha hasira kwa wananch ambao wamekuwa wakiwalea watoto wao tangu wakiwa wadogo ili waje waolewe nae huku wanawake wengi wamekuwa wakijaribu bahati zao zaidi ya mara sita bila mafanikio.
Source Maskanibongotz.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king