Post hii ni maalum kwa ajili ya hiki kilichotokea kwenye jiji la Baltimore Marekani ambapo mvua kubwa imesabisha kuzama kwa mtaa uliokua umejengwa vizuri kabisa lakini umemezwa na magari yaliyokua yamepaki juu yake.
CREDIT: MASKANI BONGO
KWA HABARI ZILIZOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA SOMA GAZETI PENDWA LA MASKANI BONGO KILA JUMATANO KWA Tshs:500/= tu
Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king
0 comments:
Post a Comment