

Lucy, Salama na Amina wakishindana kunyonyana ndimi ilikuwa kama movie vile

Raheri na Suzy wakiwa kwenye hisia kali za kunyonyana ndimi hadi mshindi apatikane.
Hawa Maskanibongotz haikupata majina yao nao pia wakiwa kwenye kwenye shindano hilo.
Jackline na Neema kama wanavyoonekana
Angel na Monalisa kulia wakiwa kwenye bize kuhakikisha mshindi anapatikana bila upendeleo
Na Mwandishi wa blog hii Iringa
Na Mwandishi wa blog hii Iringa
Hakika
ni ukweli kwamba taifa letu la tanzania linakwenda kuangamia kwa kwani
vijana wengi tunaowategemea kuwa viongozi wa kesho na tegemeo kwa tafia
hili wameendelea kuonesha tabia za ajabu kiasi cha kuogopesha.
Wasichana
kadhaa wanaosoma kwenye chuo kimoja maarufu mkoani Iringa jina
linahifadhiwa wamenaswa na kamera za Xdeejayz wakifanya part ya
kushindana kunyonyana mate hadi mshindi kupatikana.
Kwa
mujibu wa chanzo chetu kilichopenya hadi kwenye part hiyo iliyofanyika
kwenye ukumbi mmoja wa Hotel maarufu Mkoani humo inayomilikiwa na
mfanyabishara aliyefahamika kwa jina la Pongezi Sanga iitwayo Vavene
Hotel wasichana hao walikuwa zaidi ya kumi.
Hata
kwa kweli hatari kubwa sana kwa matukio ya wakina wanafunzi hao wa vyuo
kwani kiukweli taifa letu liko hatarini kukosa viongozi baadae kwani
kwa vitendo hivi hakika hapo hakuna kiongozi mtarajiwa.
Msomaji
mmoja wa Blog hii aliyejitambulisha kwa jina la Nyakulinga alisema "
Yani hii ni hatari upuuzi huu kweli tutategemea kupata mawaziri hapa au
rais wa nchi? Hawa viongozi tuliokuwa nao sasa hawakuwa hivi ndiyo maana
wanatuongoza lakini kama wangekuwa hivi na wao leo hii tusingepata
viongozi bora" Alisema mzee huyo hadi machozi kumtoka kwa uchungu.
Katika shindano hilo msindi alikuwa Salama na Suzy ambao ambao walijinyakulia kitita cha shilingi milioni mbili na nusu.
CREDIT: MASKANIBONGOTZ.BLOGSPOT.COM
0 comments:
Post a Comment