Watuhumiwa. Salum Jumanne na Happynes Mdinda ambao wote wanafamilia zao.
Na Sakina Shabani
Duh wimbi la watu kuendeleza michepuko linazidi kushamili kila kukicha ambapo huyu nae kanaswa live akifanya mchepuko na mke wa jirani yake wa nyumba ya pili.
Tukio hilo limetokea maeneo ya Bunju B na kushuhudiwa na mapaparazi wa Maskani BongoTanzanaia na kufanikiwa kupata picha kadhaa za tukio hilo live bila king'amuziki.
CREDI:MASKANIBONGO
Browse » Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment