Tuesday, April 22, 2014

DAVIDO AFUNGA KAZI ANGALIA HAPA GARI ALIYOINUNUA TANZANIA NZIMA HAIPO LABDA UGANGA TU NDIKO INAKOPATIKANA..!



Mali Za Mastaa, Hii Gari Mpya Anapelekewa Davido

Show za kimataifa anazofanya Davido na utajiri wa familia yake unamweka kwenye nafasi nzri na kupata kila atakacho kwenye maisha. Ni Hit maker mkubwa Africa kwa sasa na Ukifuatilia radio na tv kwa siku hutokosa kukutana na nyimbo wa Skelewu ama Aye za Davido.
Ametumia Instagram yake kuonyesha gari mpya aliyoagiza na kwamba inakaribia kufika. Gari hii ni ya mwaka 2014 aina ya Mercedes Benz S63 AMG ambayo thamani yake kwa sasa ni  dola140,905 ambazo nikama milioni 200 za Tanzania.


nomaa
davido ride
davido 12 

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king