Thursday, March 17, 2016

HATARI KUBWA, MAELFU YA WAUMINI WAZIDI KUMIMINIKA KWA MCHUNGAJI MWENYE NGUVU ZA AJABU ILI KUPATA UPONYAJI, WATU WATAHADHARISHWA ...!


 Mamia ya waumini ambao wamekuwa wakimiminika kwenye Kanisa la Hossana  lililopo Nyakasangwe mtaa wa Wazo kwa ajiri ya kupata uponyaji wa kweli chini ya mchungaji Kiongozi Mch Mzola.
 Mchungaji Kiongozi wa Kanisa hilo Mch  Mzola
 Mmoja wa watu aliyekuwa kichaa kabisa toka Mkoa wa Dodoma ambae alipokea uponyaji toka kwa mchungaji Mzola ambao kwa sasa ni mzima kanisa huku familia ya kijana huyo ilimkabidhi mtu huyo kwa ajiri ya kuendelea na dozi
 Watu wamekuwa na furaha sana pindi wanapokuwa kwenye ibada ndani ya Kanisa la Hossana "Ngome ya Yesu".
Na Mwandishi Wetu
Hali si shwari kwenye Kanisa la Hossana "Ngome ya Yesu" Lililopo Nyakasangwe  mtaa wa Wazo linaloongozwa na Mch Mzola kufuatia umati mkubwa wa watu kumiminika kwenye Kanisa hilo kwa ajiri ya kupata  uponyaji wa kweli.
Mchungaji huyo amekuwa akitumiwa na  Mungu kuponya watu kiasi cha kushangaza wengi huku watu wakipona papo kwa hapo kwa maombi.
Mchungaji huyo ambae ni mzaliwa wa Mkoa wa Dodoma amekuwa na karama kubwa mbele za Mungu aliye hai huku amekuwa mchungaji pekee ambae muda wote amekuwa karibu na mungu kwa kuomba na kusari hali inayomfanya awe na nguvu za uponyaji wa papo kwa hapo.
Hata hivyo mchungaji huyo ameendelea kuwasihi watanzania popote walipo Duniani waendelee kupokea miujiza ya Mungu kwa kupokea uponyaji ambao ni bure kabisa badala ya watu kukimbilia kwa waganga ambako wanatoa pesa nyingi bila mafanikio.
Hivyo aliendelea kuwaasa watu wafike wapate uponyaji, kwani Kwa Mungu hakuna lisilowezekana, kila magonjwa yote sugu, ugumba, utasa, mikosi ya kushindwa kuolewa/kuona, kuwa na mashaka, hofu ya kifo nk.Na amesema wataoshindwa kufika kanisani kwake Kata ya Wazo mtaa  Nyakasangwe wanaweza kumpigia simu kupitia namba hizi 0763-161785/ 0713-161785 na wao watapokea uponyaji huko walipo.
NB: Wakati huo watu wametahadharishwa  kuacha tabia ya kuwashambulia watumishi wa Mungu kwa kuwasemea vibaya kwani watumishi ni mawakala wa Mungu Duniani kwenye huduma za kiroho.

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king