Saturday, November 7, 2015

LILE KANISA LA AJABU LAZIDI KUWA KIVUTIO, WAGONJWA WA MARADHI SUGU WAZIDI KUMIMINIKA, WENYE UKIMWI WAPONA KWA USIRI MKUBWA, MCHUNGAJI WAKE ASEMA WATANZANIA WASIACHE KUFA KISA MARADHI HATA KAMA MTU YOPO HOSPITAL WABEBE WAMPELEKEE ATAPATA UPONYAJI LIVE BILA KIG'AMUZI..!

 Mchungaji wa Kanisa la PHM BONDE LA UKOMBOZI NA MAFANIKIO KIMARA GORANI lililopo  maeneo ya Kimara Suka Amos Mbena
Kanisa la PHM BONDE LA UKOMBOZI NA MAFANIKIO KIMARA GORANI maeneo ya Suka. Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu

Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu

 Bint aliyeteswa na nguvu za giza akipokea dawa yake na siku hiyo hiyo aliponyeka na kuwa huru.
 Mchungaji huyo akimuhoji Bint aliyeteswa na nguvu za giza aliepokea dawa yake na siku hiyo hiyo aliponyeka na kuwa huru.










 Na Mwandishi Wetu
 Katika hali isiyokuwa ya kawaida wakazi mbalimbali wa Jiji la Dar wenye shida mbalimbali na kusumbuliwa na magonjwa sugu wameendelea kufurika kwenye Kanisa la PHM BONDE LA UKOMBOZI NA MAFANIKIO KIMARA GORANI maeneo ya Suka kwa ajiri ya kupa uponyaji wa kweli. 
Wachungaji wa kanisa hilo wamekuwa na nguvu za ajabu za kimungu kwa kuwaombea watu wenye maradhi sugu na hata walioshindikana Hospital hata wakiwemo wale UKIMWI. 

Akiongea na gazeti hili Mchungaji Kiongozi wa Kanisa hilo Amosi Mbena alisema" Jamani watanzania wenzangu acheni kuwaacha watu wenu wafe kwa maradhi ambayo hapa kwangu yanatibika yawe yametokana na neema ya Mungu au ibirisi utakapo mleta mgonjwa wako mahara hapa basi amekuwa mzima Mungu wetu wa mahara hapa ni Mungu wa ajabu sana wala hatuponyi watu kutumia na mafuta wanayoota ya baraka la hasha hapa ni moto wa maombi ukija mgonjwa unatoka mzima" Alisema Mchungaji Amosi kwa kujiamini
Aidha mchungaji huyo ameendelea kutoa uwito kwa watu wote duniani watakaopata ujumbe huu ya kuwa kuna Mungu wa kweli anaponya mahara hapa basi wapige namba hizo kwani kama mtu uko mbali na ungependa kupokea uponyaji basi tutkufanyia kwa njia ya simu huko ulipo utapokea muujiza, namba zake ni hizi  0716-200065 Mchungaji Amosi Mbena na 0657-897211 ya mchungaji Innocent ambae ni msaidizi wake na kuongeza hata UKIMWI kwake unaponyeka kwani Mungu wake ni Mungu wa kweli.
 NYOTE MNAKARIBISHWA

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king