Sunday, November 8, 2015

ANGALIA PICHA MKUU WA WILAYA AWAPONGEZA POLISI KINDONI, AWAANDALIA PARTY YA KUFA MTU, ATOA UWOTO KWA WANANCHI KUWA UNGA MKONO WALE WOTE WANAOTIMIZA MAJUKUMU YAO..!


Ni Novemba 7, 2015 ambapo Mkuu wa wilaya ya kinondoni, Paul Makonda aliandaa party la kuwapongeza jeshi la Polisi pamoja na vyombo vingine vya ulinzi iliyofanyika katika uwanja wa Police Oysterbay Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mkuu wa wilaya ya Kinondoni alieleza sababu za kuwapongeza jeshi la polisi na kusema…’Hakika wanastahiri heshima na pongezi kubwa na uzalendo wao na utayari wao katika kulinda na kudumisha amani. Kwa sababu hiyo mimi Mwk wa kamati ya ulinzi wilaya ya kinondoni nimeamua kwa dhati ya moyo wangu kuwafanyia part kama sehemu ya kutambua mchango wao, itakayofanyika jioni hapa Police Osterbay. Ombi langu kwa watanzania tuendelee kuwatia moyo watu wote wanaotimiza kazi zao kwa moyo mkunjufu’ – Paul Makonda.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Camillus Wambura akizungumza machache.
.
.
.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza machache
.
.
.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Camillus Wambura akikata keki.
.
.
.
.
3X6A7314
.
3X6A7318
.
3X6A7321
.
3X6A7325
Twanga Pepeta wakitoa burudani
3X6A7329
.

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king