Uswahili kuna vituko jamani, hivi ndivyo wakina mama watu wazima wakiwa wakiamuriwa ili wasiendelee kuchapana makonde wanawake hao ilidaiwa ni mke mdogo na mkubwa na sababu ilielezwa mume wao kuzidisha siku za kutoa burudani upande wa mke mdogo huku mke mkubwa akipulizwa na baridi wiki kadhaa.
Kamera za maskanibongotz zilinasa tukio hilo ambapo awari wakina mama hao waliachwa waoneshane umwamba wa nani zaidi ambapo baada ya dakika kumi waliishiwa pumnzi ndipo waliamuriwa huku wakiishia kutukana..!
Browse » Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment