Saturday, October 17, 2015

MICHEZO: FAULO ZA "KIJINGA" ZAIKOSESHA AZAM POINT TATU KWA YANGA, MASHABIKI WACHUKIZWA WENGINE WAONDOKA KABLA YA MUDA KUMALIZIKA..!








Hata hivyo katika mchezo huo ambao ulianza kwa kila timu kushambulia lango la mpinzani wake lakini Azam walionekana kucheza faulo nyingi kwa wachezaji wa Yanga kiasi cha kuwaboa mashabiki kwa kushindwa kutulia na kucheza mpira mzuri. 
Aidha refa wa mchezo huo alijitahidi kuchezesha fea kwani awali alijaribu kutumia kuonya kwa mdomo kwa wachezaji wa Azam ambao tayari walikuwa wamepaniki, hata hivyo isingekuwa kucheza faulo za "Kijinga" na zisizokuwa za msingi Azam walikuwa na nafasi kubwa ya kushinda hasa kwenye kipindi cha pili kwenye dakika ya 84 na 89 kwani Wachezaji wa Yanga walipoteana kwenye dakika hizo mara baada ya mchezaji wa Azam Kipre Tchetche kushinda goli baada ya Yanga kuongoza kwa dakika zote.

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king