Mwanamuziki
Diamond ambae kwa sasa amewagawa mashabiki wake baada ya kuonekana
kuegemea upande mmoja wa chama flani na kupiga nae kampeni.
Na Mwndishi Wetu
Mwanamuziki
wa Bongo Flava aliyefahamika kwa jina la Muddy Kiberity amefanikiwa
kuwanyakua mashabiki wote wa mwanamuziki Diamond baada ya kujiingiza
kwenye ushabiki wa kisiasa.
Wakionge
na kwa nyakato tofauti mashabiki hao wamsema kuwa mwanamuziki Muddy
anakipaji zaidi ya Diamond kutokana na uwezo mkubwa aliokuwa nao wa
kuimba huku sauti yake ikiwa balaa kwa mvuto.
Hata
hivyo mwanamuziki huyo mwenyewe alisema kuwa amefurahishwa na mashabiki
hao kukubari kwa vile ameweza kutoa wimbo uliokubarika huku akitamba
mziki wake ni mzito kwa sasa Diamond asitie maguu ataumia.
Wimbo
wa mpya wa mwanamuzki huyo Uitwao Kwanza Pesa Mapenzi Baadae umeanza
kuchezwa kwa fujo kwenye vituo vyote vya radio kiasi cha kushika kwenye
chati mbalimbali huku mashabiki wengi wakiuomba upigwe mara kwa mara
kutokana na ubora wake
|
0 comments:
Post a Comment