STAA
WA FILAMU YA WAKE MANAIKI SANGA AKIZUNGUMZA NA VYOMBO MBALIMBALI VYA
HABARI KUELEZEA UINGIANI SOKONI WA FILAMU HII YA KWANZA TANZANIA KWA
KUCHEZWA NA MASTAA ZAIDI YA 30 HUKU IKITUMIA GHARAMA ZAIDI YA MILIONI 50
HADI KUKAMILIKA.
BOFYA HAPA KUONA FILAMU YA WAKE YA MSANII MANAIKI SANGA
ERNEST NAPOLEON AMBAE KWA SASA AMEUNGANA NA MSANII MANAIKI SANGA KWA AJIRI YA KUIPELEKA SANAA YA TANZANIA HUKO DUNIANI ILI KUITANGAZA NCHI.
SIKU 8 ZA FILAMU YA MSANII MANAIKI SANGA KUFANYA MAAJABU SOKONI KWA KUVUNJA REKODI YA FILAMU ZOTE ZILIZOTANGULIA KUTOKANA NA UBORA WA FILAMU HIYO NA JINSI MAMILIONI YA WATU WANAVYOISUBIRI MTAANI NA WIKI IJAYO TAREHE 31 KWA MARA YA KWANZA ITAINGIA MTAANI
HATA HIVYO IMEELEZWA KUWA FILAMU HIYO TAYARI IMETUA NCHINI UINGEREZA KWA AJIRI YA UZINDUZI KWENYE UKUMBI AMBAO HADI SASA HAUJAFAHAMIKA.

0 comments:
Post a Comment