Sunday, August 23, 2015

ANGALIA PICHA ZA MASTAA WA BONGO FLAVA NA MOVIE WALIVYOFUNIKA KWENYE KAMPENI ZA CCM JANGWANI, KAURI YA RAIS MKAPA KWA UPINZANIA YAZUSHA MINONG'ONO..!

FILAMU YA WAKE YAIBUKIA JANGWANI KWENYE MKUTANO WA CCM AMBAPO WIKI IJAYO TAREHE 31 INATARAJIA KUWA MTAANI!

3X6A4082Kama kawaida uzinduzi wa kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na madiwani, uzinduzi wa CCM ambao ulipambwa na uwepo pia wa makada wa CCM kutoka katika tasnia ya filamu na wasanii wa bongofleva pia walikuwepo licha ya kutokana na ufinyu wa muda waliopata nafasi ya kuperform hadi sasa ni Peter Msechu, Yamoto Band na Diamond Platnumz sambamba na timu ya watu wake.
Kwa upande wa wasanii wa filamu na baadhi ya wasanii wa muziki wa bongofleva wao walipanda katika stage na kuimba wimbo wa taifa kwa pamoja.
Hizi ni picha zingine kutoka Jangawani
3X6A4083
3X6A4103
Add caption
3X6A4132
3X6A4143
3X6A4147
3X6A4148
3X6A4151
3X6A4153
3X6A4155
3X6A4157
3X6A4163
3X6A4165
3X6A4168
3X6A4174
3X6A4175
3X6A4177
3X6A4180
3X6A4183
3X6A4186
3X6A4187
3X6A4191
3X6A4197
3X6A4199

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king