Filamu mpya na Kimataifa iitwayo Going Bongo iliyotengenezwa nchini Marekani na kuonesha nchi mbali mbali Duniani kama Itali, Ujeruman, Urusi, Uingereza, China, Nigeria, Afrika Kusini na Sasa imetua nchini. Huyu ni msanii wa Bongo Movie aliyeamua kuanzia kimataifa na sasa.

Ernest Napoleon kushoto msanii toka Tanzania ambae ameonesha kipaji cha hali ya juu kwenye filamu hiyo ambayo kwa mara ya kwanza imeonesha Zanzibar Ijumaa ya tarehe 25. 2015
Filamu ya Msanii Manaiki Sanga iitwayo WAKE UP iliyosheheni wasanii zaidi ya 30 mastaa wa Kitanzania
Na Livingstone Mkoi
Going bongo in muvi ya kwanza ya bongo ya kimataifa kufanywa nchini Tanzania na nje ya nchi.
Movie hii inamuhusu daktari wa kimarekani ambaye ana ndoto ya kutaka kuwafurahisha mabosi wake kwenye kazi yake mpya katika hospitali ya 'Beverly hills medical center' iliyopo mjini Los Angeles.
Baada ya kuhudhuria sherehe ambayo ilitayarishwa na bosi wake,anajikuta kajitolea kibahati mbaya kwenda Africa kwa muda was mwezi moja katika Hospitali yenye mazingira mabovu.

Muvi hii imetengenezwa na Busy bee production na Ronald brothers production.
Waigizaji; Ernest Napoleon,Emanuel Galliusi,Ashely Olds,Nyokabi Gethaiga.
Direkta wa picha ; Leslie Bumgarner
Direkta wa filamu; Dean Ronald's
Edita ; Rachel Katz
Muziki ; Alex Hemlock
Producer; Ernest Napoleon,Nick Marwa na Dean Reynolds.
0 comments:
Post a Comment