Monday, July 6, 2015

SIFA ZA KIJINGA ZAMPONZA PEDESHEE, AFILISIKA NA KUWA FUKARA WA KUTUPWA ASHINDWA KULIPA KODI YA CHUMBA CHA KULALA, ALITAKA KUWA PEDESHE KAMA MSOFE....!

HAPA NI PIUS RUTHA AU MZEE WA PAMBA AKIMWAGA PESA KWA MWIMBAJI WA TWANGA PEPETA RAMA
 PATA BAHATI YA KUANGALIA DEMO YA FILAMU YA WAKE UP ILIYOSHEHENI WASANII ZAIDI YA 30 NA ITATOKA MWEZI WA NANE NA KUSAMBAZWA NA KAMPUNI YA STEPS
 HAPA MZEE WA PAMBA AKIFANYA UFUSKA UKUMBINI



 HAPA PEDESHEE AKIHESABU MKWANJA

 HAPA AKIWA NA MWANAMKE MWINGINE TENA





AMA KWELI SIFA ZA KIJINGA NI NOMA HUYU JAMAA ANAITWA PIUS RUTHA  MAARUFU KWA JINA LA MZEE WA PAMBA AMBAE NI MJASILIAMAL NAMUNGU ALIKUWA AMEMJALIA KUPATA VIPESA KIDOGO LAKINI ALICHOKIFANYA MUNGU ANAJUA KWANI ALIANZA KUFANYA UFUSKA WA KUFA MTU HUKU AKIMWAGA PESA KWENYE MABAA NA KUGEUKA POPO KWA KUKESHA KATIKA KUMBI ZA BURUDANI  HUKU AKIWA NA LENGO LA KUTAFUTA JINA NA YEYE AWE STAA LAKINI ALICHOAMBULIA NI KUFILISIKA VIBAYA HADI SASA ANATIA HURUMA  NA KUNA MADAI KUWA KASHINDWA KULIPA HADI KODI YA CHUMBA CHA KULALA NA SASA ANAISHI KAMA DIGIDIGI KWA KUKOSA PA KULALA.

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king