Waandishi wa Habari.
Imetufikia ripoti kutoka Makao Makuu ya
Jeshi la Polisi Dar kuhusu idadi ya watu waliokamatwa na wanahojiwa na
Jeshi la Polisi wakihusishwa na tukio la uvamizi wa Kituo cha Polisi cha
Stakishari, Dar.
Kingine ni kwamba watu hao wamekutwa na
vitu mbalimbali… Vitu vyote vilivyopatikana vimekutwa na Polisi eneo la
Mkuranga vikiwa vimefichwa ndani ya shimo.
Tayari nimepata picha kutoka Makao Makuu
ya Polisi Dar es Salaam, silaha zilizopatikana zimeoneshwa hapa..
kulikokutwa hizo silaha kumekutwa na vitu vingine pia, ikiwemo pesa
Milioni 170.
Kamanda Kova akionesha moja ya silaha zilizopatikana.
Pata bahati ya kuangalia demo ya filamu ya Wake Up iliyosheheni wasanii zaidi ya 30. Filamu hiyo inatarajia kutoka mwanzoni mwa mwezi wa nane
0 comments:
Post a Comment