Msichana huyu ambae picha zake na zingine mbaya zaidi ya hizi aliyefahamika kwa jina la Recho Kamugisha Msemakweli hatimae amepata kazi kwenye kampuni ya mitandao ya simu jina linahifadhiwa baada ya kukaa sana nje ya nchi ili kuwasahaurisha watanzania kwa upuuzi alioufanya wa kujipiga picha kwa hiari yake mwenye picha zisizoendana na maadaili ya nchi yetu.
Msichana huyu ambae ni mtoto wa mwanasheria wa kujitegemea toka Mkoani Kagera.
0 comments:
Post a Comment