Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la
Kahama mkoani Shinyanga, James David Lembeli, akizungumza na waandishi
wa habari Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Dar es Salaam leo asubuhi wakati
akitangaza kuondoka katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Pamoja na kutangaza nia ya
kugombea ubunge kupitia chama hicho.
Lembeli akizungumza na wanahabari.
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa hiyo.
0 comments:
Post a Comment