Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua filamu mpya ya msanii Manaiki Sanga iitwayo Wake Up itawakutanisha viongozi wa Serikali na Siasa nchini Mh Lowasa na Magufuli ambao wanatarajiwa kuwa wageni rasmi.
Akizungumza na waandishi wa Habari Manaiki Sanga alisema kuwa filamu yake hiyo ambayo wasanii mastaa zaidi ya 30 wameshiriki na tayari filamu yake hiyo imeshachukiliwa na kampuni ya Steps .
Aidha Manaiki aliongeza kusema kuwa uzinduzi huo unaotarajia kufanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City huku msanii huyo akisema tarehe rasmi bado haijatajwa lakini tayari wameshaandika barua kwa viongozi hao wa siasa kwa ajiri ya kuwaomba uwepo wao.
0 comments:
Post a Comment