Thursday, July 9, 2015

KUMRADHI WASOMAJI WETU: ONA ALICHOKIFANYA MWANAMKE HUYU NI AIBU ATINGA UKUMBINI AKIWA HAJAVAA CHUPI NA KUANZA KUKATA MAUNO YA KUFA MTU, MASHABIKI WAPIGWA NA BUTWAA...!

 Mwanamke huyo ambae hakufahamika jina lake lakini ni toka Uganga hivi karibuni alitinga ukumbini kwenye band yake ya muziki huku akiwa hajaa chochote kama anavyoonekana
Filamu mpya ya Wake Up ilishehenu wasanii zaidi ya 30. ebu bofya hapa kuitizama, huku ikitarajia kutoka mwezi ujao

Hii ndiyo band anayoiimbia dada huyu kama anavyoonekana, hata hivyo ilidaiwa amekuwa akifanya hivyo kwa ajiri ya kuvutia wateja ukumbini ambapo maelfu ya wateja wamekuwa wakimiminika kushuhudia uchi wa mwanamke huyo huku jambo hili likiwafedhehesha wanawake wote Dunia kwa mwanamke huyo kukosa staha. Mtandao huu unalani vikali kwa baadhi ya wakina mama wenye tabia chafu kama za huyu dada za kujidhalilisha wenyewe.
Credit: Maskanibongotz

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king