Wednesday, July 22, 2015

KASHFA NZITO: MISS UTALII NA MANAIKI SANGA WAMBAMBIKIA MTOTO JAMAA, MTOTO AFANANA NA MANIKI KILA KITU HADI ONGEA, JAMAA YADAIWA HAJAGUNDUA CHOCHOTE...!


 Tizama picha ya ushahidi inayodaiwa kuonesha jinsi mtoo huyo anavyofanana na Manaiki  ambae ni wa Miss Utalii aliyefahamika kwa jina la  Fathiya Khalufan au Mrembo wa Facebook ambae chanzo chetu kimeeleza kuwa mrembo huyo ambae alikuwa na mahusiano na wanaume wote yani Manaiki na mshikaji ambae hafamiki jina lake lakini  kipindi chote hicho Manaiki alikuwa anammega kisera Mrembo huyo bila jamaa kujua huku akielezwa na mrembo huyo kuwa amekwishaachana na Manaiki muda mrefu.
 Bofya hapa kuangalia filamu mpya ya msanii Manaiki Sanga iitwayo Wake Up iliyowashirikisha wasanii Zaidi ya 30. Na inatarajia kutoka mwezi ujao mapema




Mtandao huu unaendelea kuwatafuta wawili hao ili kuthibitsha suala hilo ili wapenzi wasomaji wetu waweze kujua ukweli wa mambo. Credit: Maskanibongotz

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king