Browse » Home
Saturday, July 25, 2015
FILAMU YA GOING BONGO YAZUSHA BALAA ZANZIBAR NI KWENYE MAONESHO YA ZIFF. MASHABIKI WACHANGANYIKIWA NA KUSHINDWA KUAMINI KAMA MTANZANIA HUYU NDIYE ALIYEFANYA MAKUBWA NAMNA HI ANGALIA PICHA HAPA NA VIDEO..!
Msanii toka Tanzania Ernest Napoleon anaeshi Marekani ambae ndani ya filamu hiyo amefanya maajabu makubwa kutokana na kipaji alichonionesha huku mwishoni mwa wiki hii filamu hiyo imeoneshwa kwa mara ya kwanza Zanzibar na kuwakuna mashabiki wa filamu kiasi cha kushindwa kuamini kama kijana huyo kwenye ni Mtanzania ama laa..!
Bofya hapa kuona Demo ya Filamu hii ya Going Bongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment