Monday, June 15, 2015

SKENDO NZITO: MTOTO WA WAZIRI WA FEDHA TANZANIA AMBAE NI MSANII WA BONGO MOVIE ATEKETEZA MAMILIONI YA SHILINGI HUKO MAREKANI WAZUNGU WAPIGWA NA BUTWAA...!










Na Mwandishi wa Maskanibongotz
Huku vigogo wa Serikali ya Tanzania wakiendelea kupigana vikumbo kwa ajili ya uchukuaji fomu za kugombea kiti cha urais, mtandao huu makini umenasa picha za mtoto wa aliyekuwa Waziri wa Fedha Cleopa Msuya aliyefahamika kwa jina la Liberty Msuya akila bata za kufa mtu kwa kuteketeza mamilioni ya shilingi huko Marekani.
Picha hizo ambazo zimenaswa kwenye mtandao wa mtoto huyo wa Waziri ambae pia ni msanii wa Bongo Movie zinazoonesha yuko nchini Marekani akila bata za kufa mtu pamoja na kushiriki mashindano ya magari ya kwenda kasi.
Liberty Msuya ambae hivi karibuni alionekana live kwenye pambano na Floyd Mayweather, Jr na Manny Pacquiao akiwa sehemu ya VIP.
Credit: Maskanibongotz

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king