Browse » Home
Thursday, May 14, 2015
WAKATI BUNGE LA MWISHO LIKILINDIMA: MAKAHABA NAO WAVAMIA DODOMA KUMALIZIA PESA ZA MWISHO MWISHO, WAHESHIMIWA WAENDELEA KUTAHADHALISHWA...1
KATIKA HALI ISIYOKUWA YA KAWAIDA TAARIFA ZA UHAKIKA ZILIZOUFIKIA MTANDAO HUU WA MASKANIBONGOTZ UMESEMA KUWA MAKAHABA MBALIMBALI WAMEENDELEA KUMIMINIKA KWA WINGI MKOANIANI HUMO KWA AJILI YA WAO NAO KUFUNGA KAZI KWA PESA ZA MWISHO MWISHO TOKA KWA WAHESHIMIWA.
HATA HIVYO TAARIFA HIZO ZILIZEMA HOTEL NYINGI ZIMEJAA KUTOKANA NA ONGEZEKO LA MAKAHABA HAO TOKA NCHI ZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI NA KATI. CREDIT: MASKANIBONGOTZ
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment