Na Mwandishi wa MaskanibongotZ
Katika hali isiyokuwa ya kawaida siri imefichuka ya maisha marefu ya Mh Rais wa Pili wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Ally Mwinyi ni kutokana na mazoezi ya mara kwa mara pamoja na kula vyakula vya Asili.
Kwa mujibu wa dokata wa binadamu aliyefahamika kwa jina la Hawamu Juma alisema kuwa binadamu wengi wanashindwa kuishi maisha marefu kutokana na maradhi ambayo mengi husababishwa na vyakula vya kisasa pamoja na kushindwa kufanya mazoezi lakini kwa muheshimiwa Rais yeye siku zote amekuwa akionekana kufanya mazoezi ya mara kwa mara kiasi cha kushiriki mbio za marathoni.
Hata hivyo wananchi mbalimbali wamempa hongera Mh Rais kwa kutimiza umri huo na wanamuomba Mungu kumzidishia maisha marefu zaidi kwani bado taifa linamuhitaji kwa hali na mali.
Credit: maskanibongotz
0 comments:
Post a Comment