Thursday, May 28, 2015

MTOTO WA JOHARI ADAIWA NI WA UWIZI, WABAYA WAKE WAKOMALIA JESHI LA POLISI KUFANYA UCHUNGUZI WA KINA. MASKANIBONGOTZ..!




KUFUATIA kuibuka kwa habari ya msanii nguli, Blandina Chagula ‘Johari’ kubeba mimba na kujifungua kwa siri hadi mtoto kufikisha umri wa miezi 7 na mambo mengi mapya ikiwemo maswali yameibuka na kuzua ‘sintofahamu’ juu ya uhalisia wa jambo hilo, uku wengine wakifikiri mambo mengi hadi wabaya wake huenda labda mtoto huyo wa uwizi? Na watu wengi wamefika mbali na kusema wanaomba Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina kwa kumbana msanii huyo kueleza namna alivyompa mtoto huyo.

Msanii nguli, Blandina Chagula ‘Johari’.

Mtoto wa Johari.
Credit: Maskanibongotz

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king