Thursday, May 7, 2015

MANGI PESA WA VYANDARUA HUENDA AKAOZEA JELA MIKA 30. WANANCHI WASHANGIRIA KUKAMATWA KWAKE...!


Ufisadi! Kibosile mmoja aliyefahamika kwa jina la Mangi Pesa amekamatwa na polisi akiwa na shehena ya vyandarua vya serikali vya msaada ambavyo hugawiwa bure, akivitoa kwenye mifuko yake na ‘kuvipaki’ kwenye mifuko ya vyandarua vinavyouzwa.

Tukio hilo la kushangaza lilijiri Jumamosi iliyopita kwenye ‘godauni’ la jamaa huyo lililopo katika nyumba moja iliyopo Sinza C jijini Dar kwa msaada wa taarifa kutoka kwa wasamaria wema waliochoshwa na ufisadi huo wa Mangi.

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king