Friday, May 22, 2015

AIBU NZITO: PICHA ZA UCHI ZA MKE WA MFANYABISHARA WA MITUMBA KARIAKOO ZAVUJA, ALIKUWA ANAMTUMIA SERENGETI BOY WAKE AKAKOSEA NA KUMTUMIA MTU MWINGINE, NDOA YAFUKUTA...!

MTANDAO HUU WA MASKANIBONGTZ KUSHIRIKIANA NA CHANZO CHETU MAKINI KIMENASA PICHA YA UCHI YA MKE WA MFANYABISHARA MMOJA MWENYE PESA NDEFU PALE KARIAKOO MTAA WA KONGO AMBAYO ILIKUWA ATUMIWE BWANA WAKE WA PEMBENI.
KWA MUJIBU WA CHANZO HICHO KILISEMA KUWA MKE HUYO ALIYEFAHAMIKA KWA JINA MOJA LA PRINCILA SANGA AMBAE PIA NAE NI MFANYABIASHARA ALIKUWA NCHINI HONG KONG KUCHUKUA BIDHAA LAKINI WAKATI AKIWA HUKO HUKU TZ ALIMUACHA MUMEWE AKIENDELEA NA MAJUKUMU YA BIASHARA ALIAMUA KUTUMA PICHA HII KAMA INAVYOONEKANA KWA KIBWANA CHAKE LAKINI KWA BAHATI MBAYA PICHA HIYO IKAENDA KWA MTU MWINGINE AMBAE NI RAFIKI WA KARIBU NA MUMEWE.
CREDIT: MASKANIBONGOTZ

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king