MMOJA WA WANAWAKE WA MJINI WANAOPIGA PICHA WENYEWE NA KUZIRUSHA MITANDAONI
MMOJA WA WANAWAKE WA MJINI WANAOPIGA PICHA WENYEWE NA KUZIRUSHA MITANDAONI
Wananchi wameomba sheria kali ipitishwe kwa wanaotumia vibaya mitandao wakiwemo wanawake waliogeuza mitandao ni sehemu ya kufanyia biashara za ngono badala ya kupata taarifa mbalimbali za ulimwengu unavyooenda.
Wakiongea na maskanibongotz wakazi wa Dodoma wamesema wamefurahishwa taariza kuwa katika bunge hili linaloendelea pia kutakuwa na kipengele cha kujadili hatuza zitakazochukuliwa dhidi ya wale wote wanaotumia mitandao vibaya.
Browse » Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment