Monday, February 9, 2015

KIBAKA MZOEFU ALIYEWAHENYESHA POLISI MIAKA 5 ANASWA, WANANCHI WAMKAMATA NA VITU VYA UWIZI KIBAO ANGALIA PICHANI, E-FM RADIO 93.7 YAFIKA ENEO LA TUKIO NA KUJIONEA BALAA KUBWA..!

Na Livingstone Mkoi
Kijana aliyefahamika kwa jina la Mtambo wa Jeshi mkazi wa Kinondoni Moscow Jijini Dar usiku wa tarehe tano mwezi huu alinasa mikononi mwa wananchi wenye ghazabu ya ajabu na kupata kipigo cha mbwa mwizi.
E-fm Radio ambayo ilikuwa imepigiwa simu na chanzo chetu na kututaarifu kuhusiana na tukio hilo na kuwahi eneo la tukio na kukuta umati mkubwa wa watu huku mtuhumiwa huyo aliwawahenyesha Polisi zaidi ya miaka 7 bila kukatwa akiwa mikononi mwa masela huku wakimpa adhabu kali.
Kwa mujibu wa chanzo chetu kilisema kuwa Kibaka huyo alikamatwa baada ya kuwekewa mtego na wananchi wema kisha kukamatwa na kukutwa na mali mbalimbali za uwizi.
Credit: E-fm Radio 93.7

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king