Monday, October 13, 2014

MATRAFIKI WAZIDI KUMJARIBU KAMANDA MPINGA, ANGALIA HUYU MWINGINE NAE ANASWA AKILEWA MUDA WA KAZIA NA KUACHA FOLENI KIBAO BARABARANI SIJUI ITAKUAJE HAPA KAMANDA MPINGA UPO?


 KAMANDA MPINGA
Maskanibongotz: Imenasa tena picha ya trafiki mwingine akiwa analewa pombe muda wa kazi wakati foleni ikiwa imeshamili barabarani. Tukio la Afande huyo ni la pili kwa wiki mbili ambapo kuna picha zingine za matrafiki zilinaswa wakila denda muda wa kazi huku wakiwa sare za Jeshi kama ilivyo kwa afande huyu aliyenaswa akiwa na chupa ya pombe mkononi huku kofia yake ikiwa amempa mwananchi wa kawaida kinyume na utaratibu wake wa kazi. CREDIT: MASKANIBONGOTZ

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king