Meneja Uhusiano wa Radio 93.7 EFM,Kanky Mwaigomole (katikati).
Kituo cha E-fm radio cha Jijini Dar kimesema oparesheni ya muziki Mnene Baa kwa Baa bado inaendelea kushika kasi na sasa ni zamu ya wakazi wa Kigamboni na vitongoji vyake.
Akiongea na vyombo vya habari meneja huyo alisema" Baada ya kufanya vyema sana maeneo ya Kibaha, Bagamoyo,na Ukonga sasa ni zamu ya wasikilizaji wetu wa Kigamboni ambapo wiki hii itakuwa balaa kwenye ukumbi wa Navy Beach, Hivyo tunawaomba mashiki wote kufika kwa wingi kwa ajili ya kupata burudani ya kipekee"Alisema Kanky
0 comments:
Post a Comment