Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe SACP Fulgency Ngonyani ameamua kuwatimua maafande hao kazi ili iwe fundisho kwa Askari wengine wenye tabia za kukiuka maadili ya kazi hiyo ya Polisi inayohitaji adabu kubwa.
Maafande hao kama wanavyoonekana wakizicha mbele ya watu wakimgombe mrembo ambae hayupo pichani.
CREDIT: MASKANIBONGOTZ
Browse » Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment