Friday, October 31, 2014

ANGALIA PICHA ZA TUKIO LA JENGO LA BUNGE LILIVYOTEKEZWA KWA MOTO NA WANANCHI WENYE HASIRA. WANAJESHI WAJIUNGA NA WANANCHI KWENYE MAANDAMANO..!


Burkina FA

Bunge lachomwa moto pamoja na nyumba za wabunge, rais agoma kuachia madaraka


Blaise Compaore rais wa Burkina Faso aliyekaa madarakani kwa miaka 27 anatajwa kuwa mmoja wa marais waliokaa madarakani kwa kipindi kirefu zaidi na bado anasisitiza kuwa ana miezi 12 zaidi ya kuendelea kuwepo madarakani kabla ya kukabidhi madaraka kwa rais ajaye.
Ban Ki-moon anatarajiwa kuwasili nchini siku ya leo kwa ajili ya kutafuta suluhu ya machafuko hayo.
Chanzo cha machafuko hayo kinatajwa kuwa ni kitendo cha bunge kutaka kufanya mabadiliko ya katiba ambayo yangemfanya Blaise Compaore kubakia madarakani kwa kipindi kingine zaidi.
Burkina FBurkina FAS
Burkina-Faso-600x337
Taarifa zinasema jeshi limelazimika kuongoza nchi hiyo ili kurejesha utulivu.
CREDIT: MASKANIBONGOTZ

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king