Moureen Moshy ambae inadaiwa ni mwanafunzi wa chuo kimoja maarufu Mkoani Morogoro.
Na Sakina Shabani Morogoro.Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua msichana mmoja aliyefahamika kwa jina la Moureen Moshy "25" ametupia picha chafu mtandao makusudi kwa lengo la kutafuta wanaume.
Habari za uhakika zilizonaswa na mtandao huu makini zinasema kuwa msichana huyo ambae picha hiyo ameipiga huku akiwa na akili yake timamu na huku akionekana akiwa mitungi ile mbaya.
Maskanibongotz ambayo ilikuwa ya kwanza kuinasa picha hiyo toka kwenye mtandao mmoja wa kijamii toka Morogoro, habari zaidi zilisema kuwa msichana huyo licha ya kuheshimika sana na wanafunzi wenzako kutokana na familia anayotoka ni nene na yenye jina kubwa nchini alifikia uamuzi wa kupiga picha hiyo baada ya kuzidiwa na kilevi.
CREDIT" MASKANIBONGOTZ
Browse » Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment