Friday, July 4, 2014

SOMA/ ALICHOKIANDIKA DJ FETTY KWA WALL YAKE YA FACEBOOK KUHUSU UNGOVI ULIOSIKIKA WAKINGOMBANA STUDIO LIVE



tukio lote lilikuwa na kusudi la kuelimisha jamii, natumai wote tume elimika kutokana na tukio hili ni kwamba tuna nguvu kwa pamoja ya kutokomeza mambo yatakayoweza kuleta ugomvi kwenye jamii, cha kufanya ni ku #PazaSauti kwani #UkimyaHausaidii kwa kufanya hivi tutaleta amani na upendo kwenye jamii

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king