Wednesday, July 16, 2014

MGANGA WA MASTAA ARUDISHA USHOSTI WA WEMA NA DVJ PENNY WANASWA KWA MGANGA HUYO.....!

 Wema, Lulu na Dvj Penny enzi walipokuwa na urafiki kabla ya kutibuana na baadae wamerudiana tena huku mganga wa mastaa nchini Dokta Kamdege akidaiwa kuhusika kurejea kwa mahusiano hayo

 Dokta Kamdege akiwa na zana zake za kazi
Na Sakina Shabani
Mganga mashuhuri nchini ambae amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na tiba zake za miti shamba ambazo zimekuwa msaada mkubwa kwa watanzania na watu wengine duniani.
Habari za uhakika zilizonaswa na mtandao huu zinasema kuwa siku chache kabla ya mastaa hao kutangza kurejesha mahusiano yao walionekana kwene kilinge cha mganga hyo wakifanya yao hali iliyowashtua wengi.
Aidha mganga huyo ambae kwa sasa bado yupo Jijini Dar hadi mwenzi mtukufu kumalizike ambapo baadae ataelekea nchini Kenya ambako anasubiriwa kwa hamu na wananchi wa huko, hata hivyo mganga huyo ameendelea kutoa uwito kwa wakazi wa Jiji la Dar kuendelea kujitokeza kwa ajili ya kupata baraka zake kwani wako wananchi wengi wamefungwa na nguvu za giza licha ya kujituma lakini hawapati hela ya maana zaidi ya kuishia hela ya kula.
Ambapo alisema watu wamtafute 0788-844490

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king