Monday, April 21, 2014

UZINDUZI WA CLUB MASAI MPYA HAIJAWAHI TOKEA MAELFU YA WAPENZI WA BURUDANI WAHUDHURIA ANGALIA HAPA KILICHOJILI PASAKA HII!



























 HIZI NI PICHA ZINAZOENESHA NDANI YA CLUB HIYO ILIYOFANYIWA MAREKEBISHO ZAIDI YA MWAKA MMOJA AMBAPO JANA ILIZINDULIWA HUKU MAELFU YA MASHABIKI WAKIFURIKA NDANI..!
 HATA HIVYO KWA MUJIBU WA MENEJA WA CLUB HIYO ALIYEJITAMBULISHA KWA JINA LA MANENO ALISEMA KUWA RATIBA NZIMA ZA BURUDANI ZOTE ZITAKUWA ZIKIPATIKANA NDANI YA GAZETI LAKO PENDWA LA MASKANI BONGO KILA JUMATANO.

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king