Tuesday, July 7, 2015

USHIRIKINA WATIKISA DODOMA WAGANGA WA JADI WAPIGANA VIKUMBO KILA KONA KILA MGOMBEA ADAIWA KUWA NA MGANGA WAKE ILI APULIZE KUISHAWISHI KAMATI KUU YA CCM KUMTEUA KWENYE TANO BORA KISHA NEC WAMCHAGUE...!


 Mh  Rais Dk Jakaya Mrisho Kikwete ambae atakuwa mmoja wa watu watakaoongoza uteuzi wa mgombea urais 2015 na tayari kazi hiyo inatarajia kuanza mapema.
 Dokta Kamdege ambae ni mtaalam wa miti shamba ambae imeelezwa yupo Mkoani Dodoma akiwa kafichwa kwenye Hotel moja ya Kifahari akimfanyia mambo mmoja wa wagombea mwenye mvuto mkubwa wananchi na ndani ya CCM.
 Dokta Manyaunyau nae imeelezwa yupo Mkoani humo nae kafichwa huku akifanya mambo usiku na mchana kuhakikisha bosi wake  anateuliwa na kamati kuu ya ccm.

 "Filamu ya Wake Up iko tayari na hii ni demo yake ebu bofya hapa kuiona"

Na Mwandishi Wetu- maskanibongotz
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua uchunguzi ulifanywa na mtandao huu wa maskanibongotz imebaini kuwa hali si swali Mkoani Dodoma kutokana  utitiri wa waganga wa kienyeji wanadaiwa kuletwa na na baadhi ya wagombea katika kiti cha urais ili wawafanyie mambo.
Habari za uhakika toka kwa kwa chanzo chetu cha kuaminika kilisema " Jamani hali si ni mbaya kwenye mji wetu kwani kila kona wanaonekana waganga wa kienyeji wakiranda hasa nyakati za usiku na tunaambiwa kuwa wapo hapa kwa kazi maalum ya kuwafanyia mambo wagombea urais" Kilisema chanzo hicho
Credi: Maskanibongotz

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king