Wednesday, June 17, 2015

MAZIKO YA MUFT SHAABAN SIMBA YAWAGONGANISHA VIGOGO WA URAIS TANZANIA, WAANGALIANA MACHO MABAYA KAMA NINI. ANGALIA SAFARI YAKE YA MWISHO DUNIANI...!

P1140356
June 15 2015 ilitufikia taarifa ya msiba wa aliyekuwa Mufti Mkuu Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba.
Jana June 16 watu mbalimbali pamoja na viongozi wamekutana Shinyanga kumsindikiza Mufti huyo katika safari yake ya mwisho ambapo mazishi yamefanyika huko.
Haya ndio matukio niliyoyapata wakati wa mazishi hayo.
P1140337
Mawaziri Wakuu Wastaafu, Edward Lowassa na Fredrick Sumaye wakiwa msibani.
P1140441
Rais Jakaya Kikwete
P1140447
Mbunge Edward Lowassa
P1140450
Waziri Bernard Membe
P1140457
P1140463
P1140465
P1140485
Rais JK akiongea na Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam, Alhadi Musa Salum.
P1140510
Mbunge William Ngeleja.
#RIP Sheikh Issa Bin Shaaban Simba

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king