Saturday, March 28, 2015

UTATA MTUPU: MCHUNGAJI GWAJIMA YADAIWA AJIZIMILISHA MAKUSUDI ILI KUKWEPE MKONO WA DOLA, DC KINONDONI NAE AMTAKA AJISALIMISHE HARAKA AKITOKA KITANDANI..!


Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Uzima na Ufufuo, Askofu Josephat Gwajima alizimia alipokuwa akihojiwa na Polisi kufuatia tuhuma zinazomkabili za kumkashfu, kumdhalilisha na kumtolea lugha ya matusi Muadhama Kardinali Polycarp Pengo.
MAra baada ya kuzimia alipelekwa hospitali ya Polisi iliyopo Kurasini na baadaye akahamishiwa katika hospitali ya TMJ kwa huduma zaidi.
Hata hivyo kumeenea habari za utata kama Mch huyo anadaiwa amejizimilisha makusudi kukwepa mkono wa dola..!

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king