Monday, March 23, 2015

BODIGADI WA DIAMOND ANASWA NA DEMU YADAIWA AMEANZA KUFATA NYAYO ZA BOSS WAKE KWENYE UFUSKA...!

Hapa Bodigadi wa Diamond akiwa na mwanamke kwenye moja ya Hotel za maana na habari zaidi zilidai kuwa huyo ni demu wake ambayo kila sehemu huwa wanaenda wote kwa kificho.
Hapa Bodigadi wa Diamond akihojiwa na Clouds Fm Radio kwenye kipindi cha XXL.

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king